Candlestick pattern and physology behind it formation

Candlestick patern ni moja ya kitu muhimu kutumia unapofanya analysis yako(kati ya kubuy or kusell) kwasababu kitakupelekea kufanya maamuzi sahihi na kuleta matokeo chanya


CANDLESTICK pattern ni lugha ambayo hutumiwa na forex traders endapo utajua kuitumia vizuri:relaxed: itakusaidia kujua MARKET INAKUTAKA UFANYE NINI KWA MUDA 

Kwa sasa nitaelekeza jinsi ya kuzitambua candlestic pattern na ujumbe unaotoa jinsi kuzitrade(kiundani zaidi) nitaelekeza katika vipindi vya mbele

ANATOMY OF CANDLESTICK PATTERN

Nitaelezea physology behind its formation hii itasaidia kupata ujuzi wa kuzitambua kiurahisi (candlestick pattern)na pia itakusaidia kutambua unatakiwa ufanye nini kwa wakati huo (ukielewa vizuri haitakusumbua sana wakati wa kuzitrade)

1.ENGULF BAR CANDLESTIC PATTERN
-hii ni candlestic pattern ambayo inajumuisha candlestick mbili candlestick ya kwanza huwa fupi na candle ya pili huwa ndefu kuzidi candlestick ya kwanza






Kama lilivyo jina engulf bar ina maana kwamba candle ya pili imeimeza(engulf) candlestick ya mwanzo
**ili iwe engulf bar candlestick lazima iwe imemezwa kabisa na candlestick ya pili kama ilivyoonesha kwenye picture za hapo juu

Engulf bar candlestick pattern zipo za aina mbili
: bullish engulf bar
:bearish engulf bar
BEARISH engulf bar
-kwenye bearish engulf candlestick ya mwanzo huwa inamezwa na candlistick ya pili ambayo huwa ni bearish candle
**kama hujui bearish candle ni nini pitia maelezo ya vipindi vya nyuma

Muonekano wa bearish engulf pattern tazama picha zifuatazo

 huu ndio muonekano wa bearish engulf kwenye chart yako HII inatupa taarifa kati bull(buyer) na bear(sellers) kwenye market


*Endapo pattern hii itatokea mwishoni mwa uptrend hii itaashiria kwamba buyers wamezidiwa nguvu na sellers na kuna uwezekano mkubwa wa kutokea revesal
Kuelewa zaidi tazama picha ifuatayo
Kama ulivyoona hapo juu tunategemea trend revesal kwasababu buyers wamezidiwa nguvu(volume) na sellers ambao wanajaribu kuipeleka market chini

Note:Huwezi kutrade kila bearish candlestick pattern unayoiona katika chart yako tools nyingine zinahitajika ili kukupa confirmation ya entry yako(sell) nitaelezea hii zaidi kwenye vipindi vya mbele.kwa sasa unachatakiwa kufanya nia kujaribu kuzitafuta bearish engulf bar kwenye real chart ya mt4

BULLISH ENGULF BAR
-Hii ni aina ya candlestick engulf bar candlestick pattern ambayo candlestick ya mwanzo (small candle) inameza na candlestick ya pili ambayo huwa bull candle
Bullish engulf bar inatoa taarifa kwamba sellers wanazidiwa nguvu na buyer kwa hyo kuna uwezekano mkubwa wa buyer kucontrol market kwa mda huo


Endapo Bulish engulf itatokea katikati ya uptrend hii inamaanisha ni muundelezo wa trend (continuation) na huu ndio muda sahihi kwa waliochelewa entry ya mwanzo kuingia katika trade
Forex lesson tanzania (swahili)
Endapo bullish engulf itatokea mwishoni mwa downtrend kutakua na uwezekano mkubwa wa kutokea reversal. Tazama picha 

Mfano hapo juu unaonesha jinsi market ilivyobadili uelekeo baada ya bullish engulf bar kutokea
Small bear candle hii ilinaonyesha selling power na large bull candle inaonesha buying power
Unachotakiwa kufanya kwa sasa ni kwenda kwenye realchat ya mt4 ili kujipa mazoezi ya kuzitambua engulf bar candlestick pattern. Jinsi ya kuzitrade(entry &exit) nitaelekeza katika vipindi vya mbele kwa sasa unatakiwa uwe na ujuzi wa kuzitambua engulf bar kwa usahihi hii ndio hatua muhimu kwa sasa