MARKET SWINGS

swings ni pale inapomove kama mawimbi(wave)
so katika uptrend itatengeneza Higher higher and higher low like


in downtrend itatengeneza lower High and low low like :point_down:




ili uwe price action trader mzuri ni muhimu kutambua jinsi market inavyomove in swings
usipoelewa vizuri unaweza kutana na matazo yafuatayo

1.utafungua trade wakati usio sahihi kwa mfano in downtrend utasell wakati inafanya market inafanya upswing hii sio nzuri kwa sababu itakupelekea kuhold red kwa mda mrefu lengo la trader wengi ni kuona profit muda mfupi baada ya kuplace trade za japo kuwa sio mda wote hili hutokea🙂🙂

2.itakusababisha uweke stop loss kubwa sana(yenye pips nying) and endapo utalazimsha kuweka stop loss ndogo utakuwa stopped out(hit of stop loss) wakati trade ikiwa bado ipo upande wako

so kwenye uptrend unatakiwa ubuy wakati price inamalizia kufanya downswing


in downtrend unatakiwa u sell kipingi markert inamalizia kufanya upswing