JINSI YA KUTUMIA MT4 KATIKA SIMU AINA YA ANDROID.

JINSI YA KUTUMIA MT4 KATIKA SIMU AINA YA ANDROID.

Hii ni platform tunayoitumia kutrade forex

Ingia katika playstore kwenye simu yako na andika META TRADER 4

Unapoingia katika app kwa mara ya kwanza screen itakuonesha namna ya kusajili akaunti mpya.

Baada ya kuiona app hio click INSTALL na fuata maelekezo ya jinsi ya ku INSTALL
Kama ndo mara ya kwanza kutrade forex click start without registration

Utapewa account ya demo automatically
A. QUOTES
Hii ni sehemu ambayo huonesha viwango dhahiri katika muda sahihi vya sarafu mbalimbali. Quotes ya kawaida huonesha aina ya pair na bei ya kuuza na kununa.