TYPES OF TRADING(market analysis)

Market analyis itakusaidia kujua ni mda gani wa kuplace BUY au SELL katika currency pair

Mfano USD/JPY unatakiwa uBUY au uSELL kwa mda fulani
Kuna aina mbili za kufanya analysis katika forex trading ambazo ni:point_down:

1.TECHINACAL ANALYSIS

2.FUNDAMENTAL ANALYSIS

1.TECHNICAL ANALYSIS

Hapa forex trader hutambua thamani ya Currency pair mfano USD/JPY kwa kuangalia chart

Types of chart
1.line chart
2.Bar chart
3.Candlestick chart

1.TECHNICAL ANALYSIS

Hapa forex trader hutambua thamani ya Currency pair mfano USD/JPY kwa kuangalia chart

Types of chart
1.line chart
2.Bar chart
3.Candlestick chart

Muonekano wa candlestick:point_up_2::point_up_2:

Kila candlestick unayoiona katika chart yako kuna kitu ina maanisha:relaxed::relaxed:

Types of candlestick
1.bull candle
Huwa na rang nyingi huwa ina rangi ya KIJANI au NYEUSI (japo unaweza kuweka rangi unayoipenda)
2.bear candle
Mara nyingi huwa na rangi NYEKUNDU au NYEUSI (japo unaweza ukaweka rangi unayoipenda)

Kwa maelezo zaidi kwa kipengele hi unaweza refer :point_up_2:juu kwenye kipengele cha terminology used in forex