MISAMIATI ILIYOPO FOREX

ISAMIATI ILIYOPO FOREX


1. BASE CURRENCY
Hiki ni kiini msingi katika kununua au kuuza katika forex. kama utabuy USD/JPY Hii ni kumaanisha unanunua dola ya kimarekani na wakati huohuo unauza yen ya kijapani.


Kwa maana nyingine Base currency in fedha unayoitumia wewe
Kwa mfano sisi Tanzania base currency yetu ni shillings
Felix
Forex lesson tanzania (swahili)
Kwenye Forex utatambua base currency kwa kuwa inakuwa ya kwanza kwenye pair mfano USD/JPY

Hapa USD ni base currency yako


2. QUOTE CURRENCY
Hii ni ile sarafu ya pili katika pair ya sarafu husika unapofanya trade. Mfano USD/JPY, JPY ndio quote currency.

3. LONG/BULLISH
Hii ni termonology ambayo unasikia watu wakiiongelea. kama imepatikana opportunity ya kulong/bullish hapa maana yake NUNUA. Bull ni aina za mnyama ambae anakula majani hivo candlestick zake nyingi zinakuwa zikiwakilishwa na rangi ya kijani. Huyu mnyama akitaka kukudhuru huinamisha kichwa chini na anakunyanyua kwa kukuchota kukupeleka juu. Hivyo katika Forex hapa inamaanisha soko linatoka chini linapanda juu.





4. SHORT/BEARISH
Kama imepatikana opportunity ya kushort/bearish hapa maana yake UZA.. Bear ni aina ya mnyama ambae anakula nyama, hivo candlestick yake huwakilishwa na rangi nyekundu. Huyu mnyama anavyokudhuru huruka juu kisha hukushusha chini. Hii katika forex inamaanisha soko linatoka juu kushuka chini.

[Photo]

4. SHORT/BEARISH
Kama imepatikana opportunity ya kushort/bearish hapa maana yake UZA.. Bear ni aina ya mnyama ambae anakula nyama, hivo candlestick yake huwakilishwa na rangi nyekundu. Huyu mnyama anavyokudhuru huruka juu kisha hukushusha chini. Hii katika forex inamaanisha soko linatoka juu kushuka chini.

Felix
Forex lesson tanzania (swahili)
5. PIP (PERCENTAGE IN POINT)
Hiki i kiasi cha thamani kinachocheza kulingana na mzunguko wa sarafu husika katika biashara. Huanza kuhesabiwa kutoka desimali ya nne katika pair mfano thamani ya USD/CHF ni 1.1379, thamani hii ikimove toka 1.13*79* mpaka 1.13*80* hapo inakuwa ni 1 pip
Isipokuwa kwa pair inazohusisha sarafu ya YEN nafasi za decimal zitakuwa tatu na sio nne kama pair nyingine. Mfano USD/JPY=1.137 hivo pip unaanza kuhesabu kwenye 7


8. STOP LOSS(SL)
Hili ni eneo ambalo utaamua kutoka nje kwa hasara either kwa kuona analysis yako ilikuw na makosa au unaamini upande wa hasara uliopo utaongezeka zaidi hivyo badala ya kupata hasara kubwa unaamua kuchukua hasara kidogo. Wanasema kama hutakubali hasara basi jiandae kupokea mama wa hasara kwa lazima.
Kwenye market ukishafanya analysis unaona kuna fursa ya kupanda kwa sarafu hivo unaamua kuinunua ikiwa chini ili ikifika juu uiuze na ile tofauti ya bei ulonunua na utakayokuja kuuza ndo inakuwa faida Na wewe uliingia sokoni kwa hio currency labda, Sasa baada ya kufanya hio analysis inatokea news mfano ya kushuka kwa ajira mfano marekani So kwa namna yoyote currency baada ya kupanda itashuka... Maana itakuwa weak.Sasa unakuta na wewe ulishaingia so unagundua itashuka sana hivo unaamua kutoka katika soko katika hasara ndogo ili usipate hasara zaidi kwani haujui hio currency itashuka mpaka wapi. Hio ndo inaitwa STOP LOSS

PENDING ORDER
Hizi ni aina ya ORDER zinazotika katika forex
 2. BUY STOP
Ukifanya analysis katika soko utagundua kuna fursa fulani inatokea katika soko. Au imeonesha dalili za kutokea. Lakini sio mda wote utakuwa katika kioo chako cha kompyuta. Hivo unaweka pending order ya kununua kama price itafika eneo fulani. Hivo utaweza kuendelea na shughuli zako kisha price ikifika pale itajinunua na kukuingiza kwenye market.

3. SELL STOP.
Kama maelezo yalivyo katika buy stop hii pia ni hivyo hivyo.. isipokuwa hapa unaweka oda kama price itashuka basi ijiuze na kukuingiza kwenye market ikifika point fulaniii.

                        [Photo]
LEVERAGE
Hii ndio inayotusaidia sisi retaire trade kutrade forex