TRENDLINE IMPORTANT TERMINOLOGY

 Hizi ni line ambazo huonekana juu au chini ya CANDLE(candlebody) kwa jina jingine huitwa SHADOW


√√RANGE (Ranging market)√√
Ranging marker price huwa inamove UP and DOWN katika two level

√√Consolidation√√

Hapa price huwa inamove sideway maranyingi hii hutokea endapo kuna low volume

√√ LAST KISS (RETEST)√√√

Hii hutokea endapo kuna breakout:innocent::innocent:
***Breakout ni ambapo price(candle) inatoboa mistari ya S/R (support and resistance) Au TRENDLINE
Breakout inapotokea price huwa inarud kuRETEST(kupata support) kwenye line or level kabla ya kuendelea na movement yake in the direction of breakout

TRENDLINE huwa zinachorwa kwa kuunganisha two BOTTOM in uptrend na TOPs in downtrend (most recent)


Waweza jifunza kuchora trendline tumia timeframe kuanzia H1 na kuendelea mbele UONE jinsi
::Price inavyoreact kwenye trendline
:Breakout na false breakout

DEMO TRADING
Demo account ni nzuri kwa kukuza ujuzi na kutambua entry nzuri(kuplace buy&sell) na Exit trade Bila kupoteza pesa zako halisi:+1:
Nikutakie majaribio mema kufanikiwa kwako ndio furaha yangu.