SUPPORT AND RESISTANCE

Support ni mstari ambao unaisaidia price(candle) kutoka chini kwenda juu

Resistance ni mstari ambao huizuia price(candle) isiende juu zaidi

Mfano wewe unapotaka kundundisha kitenesi(hii tuichukulie kama candle) ili kiende juu huwa unakidundisha chini(hii tuichukulie kama support) ili kipate nguvu ya kwenda juu. LAKINI kinapofika juu hukutana na silling board(hii tuichukulie kama resistance) ambapo huzuiwa kwenda juu
Mistari ya support and resistance huwa tunaichora kwa kutumia Horizontal line ambayo inapatika katika application ya metatrader 4
Ukiclick screen ya metatrader itatokea hyo cycle

M1,M15,M30,H1,H4,D1,W1,MN hizo in time frame

Chagua yoyote kuanzia H4 na kuendelea mbele ili kutumia kujifunza kuchora mistari ya support na resistance

 Click hapo ili kupata horizontal line
huo ndo hutumika kuchora support and resistance